Tahadhari kwa Watumiaji wa GB WhatsApp na WhatsApp Plus
Watumiaji wa programu za ziada za GB WhatsApp na WhatsApp Plus hivi karibuni wamepewa tahadhari juu ya utumiaji wa programu hizo kama mbadala wa...
Practical technology guides, tutorials and easy step-by-step help.
Watumiaji wa programu za ziada za GB WhatsApp na WhatsApp Plus hivi karibuni wamepewa tahadhari juu ya utumiaji wa programu hizo kama mbadala wa...
WhatsApp inaendelea kufanya maboresho ya app yake kila siku, na hivi karibuni moja ya maboresho yanayo tegemewa kuja kwenye app hii ni pamoja na...
Kama wengi wetu tunavyo jua, Boomplay ni app inayotoa huduma ya kusikiliza na kupakua muziki barani Afrika, sasa hivi karibuni boomplay imesaini...
Siku za karibuni tulipata ripoti kuwa WhatsApp inakuja na njia ya kuweza kujua picha feki, lakini kama hiyo haitoshi siku za karibuni ripoti mpya...
Kama wewe ni mfuatiliaji wa habari mbalimbali hapa VinkoWeb basi lazima utakuwa unajua habari kuhusu WhatsApp kuja na sehemu mpya ya Dark Mode au...
Kama wewe ni mtumiaji wa app ya WhatsApp lazima utakuwa umesha kutana na usumbufu kwa kualikwa kwenye magroup ya WhatsApp bila hata kujua nani am...
Hivi karibuni WhatsApp imekuwa ikifanya majaribio ya sehemu mpya ambazo zinasemekana zinakuja kubadilisha kabisa muonekano wa programu hiyo pamoj...
Hivi karibuni kume kuwa na wimbi la apps mbalimbali kuonekana zikipotea kutoka kwenye soko la Play Store kwa sababu mbalimbali ikiwa pamoja na ku...
Wakati mkutano wa Google I/O 2019 ukitegemewa kuanza rasmi siku ya leo huko nchini Marekani, Google kupitia soko lake la programu za Android la P...
WhatsApp imekuwa ikifanya mabadiliko kila toleo jipya la Android linapotoka, mabadiliko mapya kipindi hichi yanalenga kwa watumiaji wa simu za Wi...
Kama wewe ni mtumiaji wa simu za Android basi ni wazi unajua kuwa ulinzi ni kitu cha muhimu sana kwenye simu yako, kwa bahati mbaya ulinzi uliopo...
Kama wewe ni mmoja wa watumiaji wa simu za Android basi ni wazi umeshawahi kusikia kuhusu neno Firmware, kama hujawahi kusikia basi kupitia makal...
Kama wewe ni mpenzi wa mchezo wa mpira wa miguu basi ni wazi unajua kuwa michuano ya AFCON 2019 au Africa Cup of Nations inatarajiwa kuanza rasmi...
Wakati sehemu ya WhatsApp Status ikiwa iko mbioni kuanza kutumika kuonyesha matangazo, hivi karibuni Facebook kupitia app yake ya WhatsApp imeanz...
Kama wewe ni mtumiaji wa kompyuta yenye mfumo wa Windows 10 pamoja na simu ya Android basi habari njema kwako kwani sasa utakuwa na uwezo wa kupo...
Imebidi turudi hewani muda huu kuelezea tatizo ambalo linaendelea hadi sasa kwa programu za WhatsApp, kama umekua unashindwa ku-upload picha au k...
WhatsApp ni moja kati ya programu bora za kuchati zinazotumiwa na watu wengi zaidi duniani, hadi mwezi wa nne mwaka huu 2019 programu hiyo imefik...
Programu maarufu ya GBWhatsApp ambayo imejizolea umaarufu mkubwa miongoni mwa watumiaji mbalimbali wa simu za Android, hivi karibuni imetangazwa...