Instagram Kutoa Taarifa Maalum Unapochukua Screenshot
Hivi karibuni kumezuka gumzo ambapo imethibitishwa kuwa instagram sasa ita-anza kutuma meseji maalumu pale tu mtu atakapo chukua screenshot ya pi...
Practical technology guides, tutorials and easy step-by-step help.
Hivi karibuni kumezuka gumzo ambapo imethibitishwa kuwa instagram sasa ita-anza kutuma meseji maalumu pale tu mtu atakapo chukua screenshot ya pi...
Wote tunajua kuwa programu ya VLC inakuwezesha kucheza video zenye format karibia zote, pia vile vile programu hii inakuwezesha kuangalia video z...
Huu ni mwezi wa 12 zimebaki siku chache mwaka kumalizika, kampuni nyingi zinaonekana kuanza kuhesabu kumi bora za bidhaa au matukio yaliotokea nd...
WhatsApp ni moja kati ya programu bora ya kuchati kwa sasa, ubora wa programu hii unatokana na sehemu mpya zinazo ongezwa kila siku kwenye progra...
Toleo jipya la programu maarufu ya Android (Chrome) linakuja na uwezo mpya wa kuwezesha kutumia programu hiyo bila internet, toleo hilo jipya len...
Programu mpya kutoka kampuni ya Facebook, Facebook Event leo imezinduliwa rasmi kwenye mfumo wa android. Programu hiyo ambayo ilitangazwa kuja ra...
Smartphone au simu janja zimekua ni sehemu ya maisha ya kila mtu siku hizi, simu hizi zimekua ni msaada mkubwa sana iwe wewe ni mwanafunzi, mfany...
Taarifa za mtandao wa vine kufungwa sasa zimefikia kwenye hatua za mwisho, hivi karibuni kampuni hiyo ilitoa taarifa kwa watumiaji wake kuwa mtan...
Kama wewe ni mmoja kati ya watu wanaopenda kuedit picha kwa kutumia simu yako ya mkononi ya Android, basi ifuatayo ni list ya programu bora za ku...
Siku ya ijumaa ya tarehe 13 tovuti maarufu ya habari ya The guardian ya nchini marekani iliandika makala maalum iliyokua ikitoa taarifa kuwa, sas...
Kuna wakati unajikuta na mambo mengi kiasi kwamba huwezi kuangalia TV nyumbani kwako hii inakufanya ugeukie kwenye kitu kimoja ambacho uko nacho...
Kwa muda sasa Facebook imekua ikifanya majaribio ya sehemu mpya ya Facebook Stories kwenye programu zake za Facebook Messenger za mifumo ya iOS p...
Programu ya WhatsApp hivi karibuni imekua ikiongezewa sehemu mpya ambazo hufanya programu hiyo kuwa rahisi kutumia na pengine muhimu kuwa nayo. K...
Kuna wakati unajikuta unalazimika kuangalia filamu (Movies) kwenye simu yako ya mkononi (smartphone), tatizo ni kwamba ni ngumu sana kupata progr...
Wakati programu za Facebook na WhatsApp zikiwa na matarajio ya kuboreshwa zaidi Instagram nayo haipo nyuma kwenye kuleta sehemu mpya. Hivi karibu...
Hivi karibuni hutoweza tena kudownload programu ya Google Now Launcher. Kwa mujibu wa tovuti ya Android Authority programu hiyo itaondolewa kweny...
Najua kuna wakati mtu unatafuta programu flani kwa ajili ya kompyuta yako na wakati huo huo unakuta programu hiyo inauzwa bei ghali kiasi kwamba...
Hivi karibuni programu ya WhatsApp inaonekana kuongezewa vipengele vingi zaidi na vyenye kuboresha matumizi ya programu hiyo, katika kusisitiza h...