Matoleo Haya ya Android na iOS Yatakosa WhatsApp 2017
WhatsApp ni moja kati ya programu bora ya kuchati kwa sasa, ubora wa programu hii unatokana na sehemu mpya zinazo ongezwa kila siku kwenye programu hii, pengine hiyo ndio moja kati ya sababu ya whatsapp kuacha kufanya ka…
WhatsApp ni moja kati ya programu bora ya kuchati kwa sasa, ubora wa programu hii unatokana na sehemu mpya zinazo ongezwa kila siku kwenye programu hii, pengine hiyo ndio moja kati ya sababu ya whatsapp kuacha kufanya kazi kwenye vifaa hivi ambavyo hadi kufikia mwaka 2017 vifaa hivi havitaweza kusupport programu hiyo bora ya kuchat.
Phones:
- iPhone 3GS
OS versions:
- iOS 6
- Android 2.1
- Android 2.2
- BlackBerry OS
- BlackBerry 10
- Nokia S40
- Nokia Symbian S60
- Windows Phone 7
Ili kuangalia kifaa chako kinatumia toleo gani kwa mfumo wa Android bofya Settings alafu About kisha utaona palipo andikwa Android Version, kisha utaona toleo la kifaa chako. Kwa vifaa vya Apple mfumo wa iOS nenda Settings alafu General kisha About hapo utaona toleo la kifaa chako.
