FB Messenger Kuja na Njia ya Kurudisha Meseji Ulizo Kosea
Baada ya mtandao wa Facebook kuleta sehemu ya Delete For All kupitia App ya WhatsApp, hivi karibuni mtandao huo uko njiani kuleta sehemu mpya kupitia app yake ya Facebook Messenger itakayo kuwezesha kurudisha meseji uliy…
Baada ya mtandao wa Facebook kuleta sehemu ya Delete For All kupitia App ya WhatsApp, hivi karibuni mtandao huo uko njiani kuleta sehemu mpya kupitia app yake ya Facebook Messenger itakayo kuwezesha kurudisha meseji uliyokosea kutuma.
Kama ilivyo kwenye WhatsApp, kupitia sehemu hiyo pia itakuruhusu kufuta meseji uliyokosea kutuma ambapo meseji hiyo itafutika kwa upande wako, na pia kwa kutumia sehemu ya “unsend” meseji hiyo itaweza kufutika kwa uliyemtumia pekee.
Facebook Messenger is finally working on "Unsend Message" in the app for everyone!
Tip @Techmeme pic.twitter.com/5OtQrmyID3
— Jane Manchun Wong (@wongmjane) October 12, 2018
