Game Bora Zinazotegemewa Kuja Mwaka 2018 Kwenye PS4

Tayari tuko katikati ya mwezi huu wa kwanza na sasa kampuni mbalimbali za utengenezaji wa game ziko tayari kukonga nyoyo za wapenzi wake kwa game mpya ambazo pengine zitaufunga mwaka 2018 zikiwa game bora za mwaka huu. L…

https://www.facebook.com/tanzaniatech/October 6, 20261 min read

Tayari tuko katikati ya mwezi huu wa kwanza na sasa kampuni mbalimbali za utengenezaji wa game ziko tayari kukonga nyoyo za wapenzi wake kwa game mpya ambazo pengine zitaufunga mwaka 2018 zikiwa game bora za mwaka huu.

Leo VinkoWeb tunakuletea list ya game hizo ambazo zinategemewa kutoka siku za karibuni kupitia vifaa vya video game za Playstation 4 au PS4.

  • World War Z

Tarehe ya Kutoka : 2018
PS4 exclusive: No, also on Xbox One and PC
Publisher: Saber Interactve/Paramount Pictures

  • Monster Hunter: World

Tarehe ya Kutoka : 26 January 2018
PS4 exclusive: No, also on Xbox One and PC
Publisher: Capcom

  • Shadow of the Colossus

Tarehe ya Kutoka – 6 February 2018
PS4 exclusive: Yes
Publisher: Sony Interactive Entertainment

  • Ghost of Tsushima

Tarehe ya Kutoka – Miezi ya karibuni
PS4 exclusive: Yes
Publisher: Sony Interactive Entertainment

  • Beyond Good And Evil 2

Tarehe ya Kutoka : 2018
PS4 exclusive: No, also on Xbox One and PC
Publisher: Ubisoft

Related guides

Related gadgets