Game Bora za Programu ya Android Mwaka 2016
Kama tunavyojua kucheza game kwenye smartphone yako ni kitu ambacho akikwepeki kabisa siku hizi iwe umepumzika au umeamua tu kupoteza mawazo weng...
Practical technology guides, tutorials and easy step-by-step help.
Kama tunavyojua kucheza game kwenye smartphone yako ni kitu ambacho akikwepeki kabisa siku hizi iwe umepumzika au umeamua tu kupoteza mawazo weng...
Kwa sasa uwezo wa kucheza game za Play Station 3 katika kompyuta yako ni mkubwa sana kwani Sony imefanya rasmi kuwezekana kwa hatua hiyo. Hata hi...
Nimesha wahi kuona baadhi ya game za kitanzania zingine zilifanikiwa kufika kwenye Play Store zingine hazikufika lakini hivi karibuni kuna game m...
Wapenzi wa gemu siku ya tarehe 7 walifurahi sana kutokana na kutangazwa kwa kuja kwa game ya Super Mario Run kwenye simu mpya ya iPhone 7 pamoja...
Siku za usoni kumekua na mvutano kati ya mtu mwenye Youtube channel inayoitwa Modded Games na Samsung Electronics ya marekani, walichokifanya wat...
Hivi karibuni kampuni ya Nintendo yenye makao makuu huko Kyoto nchini japan ilitangaza kifaa chake kipya kwaajili ya kucheza game, kifaa hicho ki...
Kampuni maarufu ya teknolojia ya Sony hivi karibuni imetangza rasmi tarehe ya kuleta game zake kwenye mfumo wa Android na iOS. Kufuatia tangazo l...
Kwa watu wengi ambao wamewahi kuwa na kompyuta Solitaire sio jina geni kwani Solitaire ni game maarufu ya kompyuta ambayo ilianza tarehe 22 May m...
Kampuni ya teknolojia pamoja na utengenezaji wa Video Game ya Ubisoft, hivi karibuni imesherekea miaka 30 toka kuanzishwa kwa kampuni hiyo ambayo...
Mwaka 2017 ndio huo umeshanza kuyoyoma kwa upande wa teknolojia ya Game zipo game nyingi sana ambazo zinatarajiwa kuja ndani ya mwaka huu 2017. Z...
Ni takriban miezi mitatu (3) tangu kurudi kwa game ya Super Mario ambayo hapo awali ilikua ikijulikana sana kwenye vifaa vya Nintendo Game Boy, S...
Hii ni kwa wapenzi wote wa game za kifaa maarufu kutoka Sony yaani PS4 au Playstation 4 hivi karibuni wote wataweza kucheza baadhi ya game za kif...
Habari njema kwa wapenzi wa game za magari, hivi karibuni tegemea kufurahia msimu mpya wa game ya Need for Speed na sasa imepewa jina la Need for...
Habari njema kwa wapenzi wa game za kwenye smartphone, hivi karibuni utaweza kucheza game mpya ya Harry Potter kupitia simu yako ya mkononi yenye...
Tayari tuko katikati ya mwezi huu wa kwanza na sasa kampuni mbalimbali za utengenezaji wa game ziko tayari kukonga nyoyo za wapenzi wake kwa game...
Tumekuwa tukiongelea sana kuhusu App za kujaribu kwenye simu ya Android, lakini je vipi kuhusu Game..? Well kama wewe ni mpenzi wa game basi unas...
Kwa wale wapenzi wa Game za XBox na PS4 nakuendelea najua jina PUBG sio jina geni kwani game hii ni moja kati ya Game ambazo zinachezwa sana mpak...