Haya Ndio Magari Saba (7) Yenye Kasi na Yakifahari Duniani
Ni jumapili ya tarehe 9 mwezi wa nne nakukaribisha tena kwenye makala ya Je Wajua, hapa tuna angalia aina mbalimbali za teknolojia ambazo kwa namna moja ama nyingine zinashangaza, kutuburudisha au pengine kuelimisha yote…
Ni jumapili ya tarehe 9 mwezi wa nne nakukaribisha tena kwenye makala ya Je Wajua, hapa tuna angalia aina mbalimbali za teknolojia ambazo kwa namna moja ama nyingine zinashangaza, kutuburudisha au pengine kuelimisha yote hayo utayapata kupitia Je Wajua kila jumapili hapa VinkoWeb.
Kwa leo tunaenda kuangalia magari saba yenye kasi na yakifahari duniani, magari haya yameonekana kuwa na speed au kasi ya hali ya juu sana pamoja na kuuzwa mamilioni ya shilingi, Magari haya yametengenezwa na wataalam mbalimbali kutoka nchi mbalimbali yakiwa na sifa mabalimbali za kushangaza na zenye kufanya magari haya yawe ya kipekee kabisa duniani kote, basi moja kwa moja karibu uangalie magari hayo na kama una swali au maoni unaweza kutuandikia kwenye maoni hapo chini karibu sana!
https://www.youtube.com/watch?v=Z-gFALYj4Gs
