Wanasayansi Wafanikiwa Kukuza Kiumbe Hai Nje ya Tumbo la Uzazi

Wanasayansi kutoka nchini marekani hivi karibuni wamefanikiwa kukuza kiumbe hai (kondoo) kwenye kifaa maalumu yaani nje ya tumbo la uzazi. Wanasayansi hao wamefanikiwa hilo baada ya kumuweka kondoo ambaye anaendelea kuku…

https://www.facebook.com/tanzaniatech/October 6, 20261 min read

Wanasayansi kutoka nchini marekani hivi karibuni wamefanikiwa kukuza kiumbe hai (kondoo) kwenye kifaa maalumu yaani nje ya tumbo la uzazi. Wanasayansi hao wamefanikiwa hilo baada ya kumuweka kondoo ambaye anaendelea kukuwa vizuri ndani ya kifaa hicho huku sehemu za mwili wake kama ubongo pamoja na sehemu zingine za mwili zikionyesha kukua vizuri.

Wanasayansi hao wanasema kwa kutumia kifaa hiki chenye mfano wa lailoni lenye maji ya uzazi (Biobag), pengine kitaweza kusaidia kwenye miaka ya karibuni kukuza hata binadamu nje ya tumbo la uzazi. Wanasayansi hao bado wanaendelea na uchunguzi wao wakati kondoo huyo akiendelea kukua vizuri kwenye kifaa hicho maarufu kama Biobag.

Related guides

Related gadgets