Sunday Movie #8 Movie Nzuri ya Teknolojia Kuangalia Jumapili
Karibu kwenye Sunday Movie 8, kama kawaida ni jumapili nyingine tena na leo tunaenda kuangalia movie nyingine nzuri ya teknolojia ya kuangalia jumapili ya leo. Kwa siku ya leo sidhani kama kuna haja ya kuongelea sana mov…
Karibu kwenye Sunday Movie 8, kama kawaida ni jumapili nyingine tena na leo tunaenda kuangalia movie nyingine nzuri ya teknolojia ya kuangalia jumapili ya leo. Kwa siku ya leo sidhani kama kuna haja ya kuongelea sana movie bali unaweza kuangalia Trailer hapo chini.
Kumbuka movie hii sio nzuri kwa watoto kutokana na kuwa na sehemu zenye kuonyesha mapigano ambayo sio mazuri kwa watoto. Ni vizuri kuwa makini na movie hii na kuhakikisha una umri wa miaka 18 kabla ya kuangalia movie hii.
Pakua Hapa 6 Underground
Kama umepitwa na Sunday Movie 7, unaweza kusoma hapa. Pia kama unataka kujua jinsi ya kupakua movie kwa urahisi unaweza kusoma hapa.
