Sunday Movie #3 : Movie Nzuri ya Teknolojia ya Kuangalia

Karibu tena kwenye Sunday Movie #3, leo tunaenda kuangalia movie nyingine nzuri ambayo inahusisha teknolojia, ambayo unaweza kuangalia jumapili ya leo. Kwa siku ya leo nakusogezea movie ya Line of Duty (2019) Movie hii i…

https://www.facebook.com/tanzaniatech/October 6, 20261 min read

Karibu tena kwenye Sunday Movie #3, leo tunaenda kuangalia movie nyingine nzuri ambayo inahusisha teknolojia, ambayo unaweza kuangalia jumapili ya leo. Kwa siku ya leo nakusogezea movie ya Line of Duty (2019) Movie hii inahusu mwandishi wa habari za video (Vlogger) ambaye alijikuta kwenye hali ngumu mara baada ya kufuatilia habari inayo muhusu mtoto wa chef wa polisi.

https://www.youtube.com/watch?v=OiKzf4EF7xk

Kama ulipitwa na Sunday movie ya wiki iliyopita unaweza kusoma hapa kujua ni movie gani ya teknolojia ambayo tulifanikiwa kuangalia.

Download Hapa

Related guides

Related gadgets