Sasa Programu ya Google Duo Yapatikana Play Store

Programu mpya ya kuchat ya video iliyokua inasubiriwa kwa muda mrefu ya Google Duo sasa imefika Play Store. Hii ni baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu sana baada ya kuzinduliwa kwenye mkutano mkubwa wa Google I/O uliofany…

https://www.facebook.com/tanzaniatech/October 6, 20261 min read

Programu mpya ya kuchat ya video iliyokua inasubiriwa kwa muda mrefu ya Google Duo sasa imefika Play Store. Hii ni baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu sana baada ya kuzinduliwa kwenye mkutano mkubwa wa Google I/O uliofanyika mapema mwanzoni mwa mwaka huu.

Programu hiyo ambayo imekwisha downloadiwa mara zaidi ya 5000 toka kuachiwa kwake hapo jana inasemekana ndio programu bora ya kuchat kwa video kwa kutumia kutumia mitandao ya 3G pamoja na 4G, hapa VinkoWeb tumepata nafasi ya kuijaribu programu hiyo mpya na tumeona ni bora na ni nzuri japo inaitaji marekebisho ya hapa na pale.

Kama ulifanya usajili wa awali ili kupata taarifa za programu hii basi lazima utakua umesha download programu hii kwenye simu yako, kama bado basi usiwe na wasiwasi kwani unaweza kuipata kwa kubofya hapo chini ili kupakua programu hiyo moja kwa moja kwenye simu yako.

Price: Free

Kwa kupata habari zaidi unaweza kuungana nasi kupitia barua pepe (email) na tutakujulisha pindi tu habari mpya itakapo ingia kwenye tovuti yetu ya VinkoWeb, pia unaweza kutufuata kwenye mitandao ya kijamii ya  facebook, Instagram, Twitter na Youtube Channel ili kupata video za habari na mafunzo ya teknolojia mbalimbali.

Related guides

Related gadgets