Sasa Angalia Video za YouTube Ndani ya App ya WhatsApp

Hivi karibuni kupitia App ya majaribio ya WhatsApp Beta, ilikugundulia njia mpya ambayo ilikuwa kwenye majaribio njia ambayo ilikuwa ikiwezesha mtu kuangalia video za YouTube ndani ya App ya WhatsApp. Hivi karibuni sehem…

https://www.facebook.com/tanzaniatech/October 6, 20261 min read

Hivi karibuni kupitia App ya majaribio ya WhatsApp Beta, ilikugundulia njia mpya ambayo ilikuwa kwenye majaribio njia ambayo ilikuwa ikiwezesha mtu kuangalia video za YouTube ndani ya App ya WhatsApp.

Hivi karibuni sehemu hiyo imekuja rasmi kwenye App ya WhatsApp ya mfumo wa iOS, na sasa watumiaji wa app hiyo wataweza kuangalia video za youtube ndani ya app WhatsApp.

Related guides

Related gadgets