Program ya Android ya Tanzania Tech Yaja Hivi Karibuni

Hivi karibuni tegemea kuona App ya VinkoWeb kwenye Play Store ikiwa ni mfululizo wa hatua ya kwanza wa kufanya kampuni ya media ya Ttech kujulikana Afrika Mashariki, Programu hiyo itakuja kwa wenye mifumo ya Android kwan…

https://www.facebook.com/tanzaniatech/October 6, 20261 min read

Hivi karibuni tegemea kuona App ya VinkoWeb kwenye Play Store ikiwa ni mfululizo wa hatua ya kwanza wa kufanya kampuni ya media ya Ttech kujulikana Afrika Mashariki, Programu hiyo itakuja kwa wenye mifumo ya Android kwanza na baadae kuja kwa watumiaji wa iOS pia kwa kutumia sehemu maalumu iliyopo kwenye programu hiyo utaweza kutumia application hiyo bila kuwa na internet.

Hii ni habari njema kwa wapenda teknolojia wa afrika mashariki, hata hivyo application hiyo inategemewa kuingia sokoni tarehe 20 mwezi wa 4 2016.

Related guides

Related gadgets