Njia Mpya ya Kutumia Keyboard ya Simu Yako (Android)

Amani JosephJanuary 17, 20231 min read Kama wewe ni mtumiaji wa smartphone yoyote wazi kuwa umeasha zoea kuandika meseji kwa kutumia keyboard ya simu yako. Lakini ni wazi kuwa inawezekana hadi leo hujajua kama zipo njia…

https://www.facebook.com/tanzaniatech/October 6, 20262 min read
Amani Joseph
January 17, 2023
1 min read

Kama wewe ni mtumiaji wa smartphone yoyote wazi kuwa umeasha zoea kuandika meseji kwa kutumia keyboard ya simu yako. Lakini ni wazi kuwa inawezekana hadi leo hujajua kama zipo njia nyingine za kutumia keyboard ya simu yako kwa urahisi na haraka.

Kupitia makala hii nitakuonyesha njia nyingine rahisi ya kutumia keyboard ya simu yako, hasa kwenye sehemu ya Spacebar ambayo mara nyingi hutumika kutenganisha neno moja na lingine wakati unaandika kitu chochote kupitia smartphone yako.

Basi bila kupoteza muda moja kwa moja twende nikuonyesha kazi nyingine ya Spacebar kwenye simu yako ya Android.

Kwa kufuata maelezo hapo juu bila shaka sasa umepata njia nyingine rahisi ya kutumia Spacebar kwenye simu yako ya Android, ikiwa pamoja na njia ya kurekebisha maneno kwa haraka na urahisi.

Kama unataka kujifunza zaidi unaweza kusoma hapa kujua kuhusu settings za muhimu ambazo ulkuwa uzijui kwenye simu yako ya Android.

Kama unataka kujua kuhusu simu mpya unaweza kutembelea ukurasa huu hapa, utapata habari zote kuhusu simu mpya pamoja na kompyuta.

Updated:
Previous Post
Bei ya Dhahabu Leo Kwa Gram
January 16, 2023
1 min read
Next Post

(Ving’amuzi vya Azam) Azam Decoder in Tanzania (2026)

January 17, 2023
2 min read
You May Be Interested
  • Maujanja
Tumia Simu Kama Mic Bila Kutumia App Yoyote
February 28, 2023
2 min read
  • Maujanja
Jinsi ya Kuzuia SMS za Promosheni Kwenye Simu Yako
February 11, 2023
1 min read

Related guides

Related gadgets