Video: Jifunze Maujanja 73 Kwaajili ya Simu na Kompyuta Yako
Wote tunapenda teknolojia lakini wa chache ndio tunaojua kutumia teknolojia hiyo kwa undani, hii ndio sababu leo tunakukusanyia maujanja mbalimbali ya simu na kompyuta ambayo yanaweza kufanya wewe kuweza kutumia simu, pr…
Wote tunapenda teknolojia lakini wa chache ndio tunaojua kutumia teknolojia hiyo kwa undani, hii ndio sababu leo tunakukusanyia maujanja mbalimbali ya simu na kompyuta ambayo yanaweza kufanya wewe kuweza kutumia simu, programu au hata kompyuta yako kwa namna ya tofauti na inayotakiwa.
Muhimu kitu cha muhimu hapa ni kuwa, kumbuka kubofya kitufe kilichopo juu kabisa upande wa kulia ili uwezo kutoka kwenye somo moja kwenda kwenye somo lingine hivyo tu basi enjoy kifaa chako kwa namna mpya.
Kama kuna maujanja ambayo hujaelewa unaweza kutuandikia kupitia sehemu ya maoni hapo chini, pia kama una lolote pia usisite kutuandikia nasi tutakujibu moja kwa moja kupitia ukurasa huu.
