Sasa Utaweza Kutuma Mafaili ya Aina Zote Kupitia WhatsApp
Kwa wapenzi wa programu ya whatsapp sasa mtaweza kutumia programu ya whatsapp kwa namna ya tofauti kwani sasa mtaweza kutuma mafile ya aina yoyote kupitia programu hiyo maarufu duniani kwa kuchat. Kupitia programu hiyo s…
Kwa wapenzi wa programu ya whatsapp sasa mtaweza kutumia programu ya whatsapp kwa namna ya tofauti kwani sasa mtaweza kutuma mafile ya aina yoyote kupitia programu hiyo maarufu duniani kwa kuchat.
Kupitia programu hiyo sasa utaweza kushare file la aina yoyote lenye ukubwa wa MB 128 kwa mfumo wa iOS na MB 100 kwa mfumo wa Android, hizi ni baadhi ya tweet ambapo watu mbalimbali wameonyesha jinsi wanavyotuma ma-file ya aina ya apk kwa kutumia programu hiyo ya whatsapp.
Yeah it’s working in Sri Lanka pic.twitter.com/0r1IkrODxp
— ☠இடியட்⛔ (@izabith) June 22, 2017
Sasa sehemu hiyo inapatikana kupitia programu ya whatsapp beta ambayo unaweza kujiunga na app hiyo kupitia Play Store kwa kutumia link hii hapa kisha ondoa programu yako ya kawaida ya whatsapp kisha download programu ya WhatsApp Beta na utapata sehemu hiyo pamoja na nyingine mpya zitakazokuja.
Kwa sasa kama unataka kutuma file lolote kwa kutumia programu yako ya kawaida ya whatsapp basi fuata maelekezo haya kwenye makala hii HAPA.
