Jinsi ya Kuondoa Ads Kwenye Android App Yoyote (2019)

Kwa namna moja ama nyingine kuna wakati ads au matangazo yaliyopo kwenye apps mbalimbali za android huwa yanasumbua sana. Ndio maana leo nimekuleta njia mpya ambayo unaweza kutumia kuondoa ads au matangazo kwenye app yoy…

https://www.facebook.com/tanzaniatech/October 6, 20261 min read

Kwa namna moja ama nyingine kuna wakati ads au matangazo yaliyopo kwenye apps mbalimbali za android huwa yanasumbua sana. Ndio maana leo nimekuleta njia mpya ambayo unaweza kutumia kuondoa ads au matangazo kwenye app yoyote ya Android.

Njia hii ni kwa ajili ya kuelimisha tu na sio kwa ajili ya kuharibu app ya developer yeyote, hivyo ni muhimu ku-support kazi za developer wa apps mbalimbali ambao huingiza kipato kwa kutumia matangazo yaliyopo kwenye apps hizo. Baada ya kusema hayo basi moja kwa moja twende tuka jifunze maujanja haya.

https://www.youtube.com/watch?v=nlk6X6yGh4I

DOWNLOAD APP YA LUCKY PATCHER INSTALLER HAPA

Kwa sasa unaweza kuendelea kujifunza maujanja mengine ya jinsi ya kubadilisha muandiko kwenye simu za TECNO, pamoja na maujanja ya jinsi ya kucheza game za Playstation kwenye simu yako ya mkononi ya Android.

Related guides

Related gadgets