Tumia Aina Mbalimbali za AI Kama ChatGPT Kwa Wakati Moja

Amani JosephDecember 16, 20241 min read Katika ulimwengu wa AI ni wazi kuwa zipo aina mbalimbali za AI Chat Bots au Language Model ambazo pengine inawezekana ulikuwa huzijui. Kupitia makala hii nitaenda kuonyesha njia mp…

https://www.facebook.com/tanzaniatech/October 6, 20262 min read
Amani Joseph
December 16, 2024
1 min read

Katika ulimwengu wa AI ni wazi kuwa zipo aina mbalimbali za AI Chat Bots au Language Model ambazo pengine inawezekana ulikuwa huzijui.

Kupitia makala hii nitaenda kuonyesha njia mpya na rahisi ya kutumia AI kama ChatGPT na nyingine nyingi kwa pamoja na kwa urahisi. Njia hii ni rahisi na huitaji kupakua programu nyingi kwa kwenye simu yako au kifaa chochote unachotumia.

Kupitia njia hii utaweza kutumia mifumo ya AI kama ChatGPT, Poe, Midjonery na nyingine nyingi. Bila kuinstall programu tofauti kwa kila AI.

Kwa kuanza unaweza kutembelea tovuti hapo chini, na moja kwa moja unaweza kujisajili na kuchagua aina ya AI unayotaka kutumia au Unaweza kupakua programu za iOS au Android.

Tembelea Tovuti Hapa

Kama unataka urahisi unaweza kudownload app za Android na iOS ya mfumo huu ambayo inapatikana kwenye masoko yote.

Kwa Watumiaji wa Android

Kwa Watumiaji wa iOS

Price: Free+

Unaweza kujisajili kwa kutumia akaunti yako ya Google kwa ajili ya kurahisisha matumizi, ikiwa pamoja na kulogin bila kutumia password.

Baada ya kutengeneza akaunti unaweza kuendelea kutumia bots za aina mbalimbali kwa urahisi kupitia simu yako au kompyuta.

Updated:
Previous Post
Camera za Simu za TECNO Sasa Kuchukua Rangi Halisi ya Ngozi
December 16, 2024
1 min read
Next Post

Jinsi ya Kupunguza Matumizi ya Bando Kupitia YouTube

December 17, 2024
2 min read
You May Be Interested
  • Maujanja
Jinsi ya Kuongeza Speed ya Internet Kwenye Kompyuta
May 16, 2025
3 min read
  • Maujanja
Kuongeza Speed na Ulinzi wa Mtandao Kupitia DNS
December 19, 2024
4 min read
  • Maujanja
Jinsi ya Kupunguza Matumizi ya Bando Kupitia YouTube
December 17, 2024
2 min read

Related guides

Related gadgets