Pata Majibu ya Hesabu Yoyote kwa Kupiga Picha Maswali

Teknolojia imekua sana kiasi kwamba sasa huna haja ya kupoteza wakati kufanya hesabu kwa muda mrefu bali sasa unachotakiwa kufanya ni kupiga picha swali lako kisha Photomath itakupa majibu kiurahisi kabisa na moja kwa mo…

https://www.facebook.com/tanzaniatech/October 6, 20261 min read

Teknolojia imekua sana kiasi kwamba sasa huna haja ya kupoteza wakati kufanya hesabu kwa muda mrefu bali sasa unachotakiwa kufanya ni kupiga picha swali lako kisha Photomath itakupa majibu kiurahisi kabisa na moja kwa moja.

Programu ya Photomath inakupa masaada wa kufanya hesabu hizo hatua kwa hatua pamoja na kukupa majibu kiurahisi kabisa, kama bado hujui hesabu kama X equals 4, basi programu hii itakufundisha.

Kama unataka programu hii ya Photomath inapatikana kupitia Play Store uku ikikupa uwezo wa kuitumia bure na kama unataka kufanya zaidi unaweza kulipia app hii… kiukwelii ni sawa kabisa hata kununua kwani app hii inakuja na uwezo mkubwa sana.

Unaweza kudownload App ya hii moja kwa moja kupitia soko la Play Store au unaweza kubofya hapo chini na utapelekwa kwenye ukurasa na download moja kwa moja.

Price: Free

Download App Hapa

Related guides

Related gadgets