Hatimaye Kampuni ya Google Yaleta Google Assistant Kwenye iOS

Katika mkutano wa Google I/O wa mwaka 2017 uliofanyika hapo jana kampuni ya Google ilitangaza kuletea programu ya Google Assistant ambayo hapo mwaka jana ilizinduliwa rasmi kwenye mfumo wa Android. Hata hivyo bado haija…

https://www.facebook.com/tanzaniatech/October 6, 20261 min read

Katika mkutano wa Google I/O wa mwaka 2017 uliofanyika hapo jana kampuni ya Google ilitangaza kuletea programu ya Google Assistant ambayo hapo mwaka jana ilizinduliwa rasmi kwenye mfumo wa Android.

Hata hivyo bado haija julikana kama programu hiyo itatumika kupitia kwenye App yake ya Google Assistance au italetwa moja kwa moja kwenye simu zenye mfumo wa iOS. Google pia inasema ina uhakika kuwa watu wengi wata tumia programu ya Google Assistance kuliko wanavyotumia programu ya Siri inayokuja na mfumo wa uendeshaji wa simu za iPhone na iPad.

Related guides

Related gadgets