Video : Gari Jipya Lenye Uwezo wa Kupaa (2021)

Kutana na gari jipya lenye uwezo wa kupaa, gari ni tofauti na magari mengine ambayo yamewahi kuonekana kutokana na gari hili kuwa na uwezo mkubwa wa kupaa kuliko magari mangine ambayo yametangulia. Bofya play hapo chini…

https://www.facebook.com/tanzaniatech/October 6, 20261 min read

Kutana na gari jipya lenye uwezo wa kupaa, gari ni tofauti na magari mengine ambayo yamewahi kuonekana kutokana na gari hili kuwa na uwezo mkubwa wa kupaa kuliko magari mangine ambayo yametangulia.

Bofya play hapo chini kuangalia video wakati gari hilo likifanyiwa majaribio rasmi hapo mwezi Juni tarehe 28 mwaka 2021.

https://www.dailymotion.com/video/x82yd53

Related guides

Related gadgets