Jinsi ya Kuchati Bure Hata Kama Huna Bando au Salio
Amani JosephAugust 27, 20241 min read Habari na karibu tena kwenye maujanja, siku ya leo ninaenda kukuonyesha njia fupi ambayo unaweza kutumia na ndugu jamaa na marafiki kuchati bila kuwa na Internet, kumbuka njia hii in…
Habari na karibu tena kwenye maujanja, siku ya leo ninaenda kukuonyesha njia fupi ambayo unaweza kutumia na ndugu jamaa na marafiki kuchati bila kuwa na Internet, kumbuka njia hii inafanya kazi pale unapokuwa uko karibu na unaetaka kuchat nae.
Vitu vya msingi unavyotakiwa ni pamoja na uwezo wa kudownload app kupitia Play Store pamoja na simu yoyote ya Android yenye uwezo wa bluetooth. Kumbuka pia ili kusudi uweze kuchat kwa urahisi wewe na unaetaka kuchati nae ni vyema wote mfuate hatua hizi.
Download App Hapa
Kama umefuata hatua hizi kwa usahihi basi najua utakuwa umeweza kuchat bila kutumia internet, kama nilivyo kwambia awali njia hii ni nzuri kama unataka kuchat na mtu ambayo mko kwenye ofisi moja au darasa moja au hata mahali popote ambapo wote mnapatikana kwenye eneo moja.
Kumbuka kila simu inakuja na uwezo tofauti wa bluetooth hivyo simu zingine zinaweza kwenda masafa marefu zaidi na nyingine zikiwa na uwezo mdogo zaidi kwa upande wa umbali.
- maujanja
