Badilisha Simu Yoyote ya Android Kuwa Kama iPhone
Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanapenda kubadilisha muonekano wa simu yako mara kwa mara basi makala hii ni kwa ajili yako. Kupitia makala hii utaweza kujifunza hatua kwa hatua jinsi unavyoweza kubadilisha muonekano w…
Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanapenda kubadilisha muonekano wa simu yako mara kwa mara basi makala hii ni kwa ajili yako.
Kupitia makala hii utaweza kujifunza hatua kwa hatua jinsi unavyoweza kubadilisha muonekano wa simu yako ya Android ili iweze kuonekana kama simu ya iPhone, kumbuka njia hii ni rahisi sana na haitaji ujuzi wa aina yoyote hivyo hata wewe unaweza kujaribu muonekano huu kwenye simu yako sasa. Kumbuka unaweza kupata app zote zilizotajwa kupitia hapo chini.
Download App Hapa
Download App Hapa
Download App Hapa
Download App Hapa
Pia ili kuweka muonekano mzuri zaidi wa iPhone kwenye simu yako unaweza kudownload wallpaper za iphone 12 moja kwa moja kwenye simu yako kupitia hapa.
