Apps Nzuri Unazoweza Kujaribu Kwenye Simu Yako ya Android

Ukweli ni kwamba ni ngumu sana kuwa na simu ya Android bila kuwa apps kwenye simu yako, kwani simu ya Android bila apps ni sawa na simu simu ya kawaida. Sasa kuliona hili leo nimekuletea apps nzuri ambazo unaweza kuinsta…

https://www.facebook.com/tanzaniatech/October 6, 20262 min read

Ukweli ni kwamba ni ngumu sana kuwa na simu ya Android bila kuwa apps kwenye simu yako, kwani simu ya Android bila apps ni sawa na simu simu ya kawaida. Sasa kuliona hili leo nimekuletea apps nzuri ambazo unaweza kuinstall kwenye simu yako ya Android na zikafanya ufurahie zaidi simu yako. Basi bila kupoteza muda zaidi twende tukangalie apps hizi nzuri.

The app was not found in the store. :-(

Cheka Point ni app nzuri ya vichekesho ambayo inakusaidia kupata pesa mtandaoni na pia kuendelea kufurahia siku yako kwa vichekesho mbalimbali.

Do it later ni app nzuri inayo kusaidia kusaidia kufanya mambo mbalimbali baadae wakati utakuwa uko mbali na simu yako.

The app was not found in the store. :-(

Duplicate Photos Fixer ni app nzuri itakayo kusaidia kupata pamoja na kufuta picha mbalimbali ambazo zimejirudia kwenye simu yako.

Glich Video Editor ni app nzuri itakayo kusaidia kuweka effect mbalimbali za Glich kwenye video zako kabla ya kuzupost kwenye mitandao ya kijamii.

Notifix ni app nzuri ambayo itakusaidia kupanga Notification zako kwa urahisi kulingana na aina ya Notification.

Red Box TV

Red Box TV ni app nzuri ambayo inakusaidia kuweza kuangalia TV kwa urahisi moja kwa moja kupitia simu yako ya mkononi ya Android.

Download Hapa

The app was not found in the store. :-(

Unnotification ni app nzuri ambayo itakusaidia kuweza kupata notification ambazo ulisahau kuzisoma kupitia simu yako ya Android.

Related guides

Related gadgets